Tuesday, June 16, 2015

Anonymous

WEMA SEPETU: Yangu ya Pili na Van Vicker Hapa Bongo,Yote Itakuwa ya Kiingereza

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema filamu ya pili atakayofanya na muigizaji kutoka Ghana, Van Vicker itakuwa ya Kiingereza pia.
Wema ameiambia Bongo5 kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuifanya filamu hiyo iwe ya kimataifa zaidi.
 
“Atakuja atakaa kama for three weeks, tutafanya audition, kwasababu tunataka kufanya movie ambayo itakuwa ni straight English. Tutaweka subtitles za Kiswahili lakini tutakuwa tunaongea lugha ya Kiingereza,” alisema Wema.
“Lengo ni kuwa international, kutoka na soko la nyumbani.” -Bongo5

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.