Friday, June 12, 2015

Anonymous

VIDEO MPYA: YEMI ALADE feat. Nugeez -Pose....Tazama na Download Hapa....!

Siku chache zilizopita staa wa Nigeria Yemi Alade aliweka behind the Scenes ya video yake mpya ya ‘Pose’ ambayo sasa tayari imetoka rasmi.
Katika video hiyo  iliyofanyika Nigeria pamoja na Ghana ikiongozwa na Paul Gambit, Yemi Alade amemshirikisha Mugeez.
Nakukaribisha hapa kuitazama kwa kubonyeza play au download hapa chini....

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.