Friday, June 12, 2015

Anonymous

SAHAU Kuhusu Floyd Mayweather Kutana na Bondia Huyu Mwenye Rekodi Ya Kipekee Duniani!

Watu na record zao mdau wangu.. Unajua kwenye wanaosifiwa kwa kushinda wako ambao wanashindwa pia !!
Nimempata huyu mmoja, yeye record yake iko kinyumenyume yani.. Floyd Mayweather hajawahi kushindwa hata pambano moja tangu amekuwa Professional boxer.. lakini Bondia Kristian Laight ambae ni raia wa Uingereza amewahi kushinda mapambano tisa tu kati ya mapambano 210 ambayo amewahi kupigana.

Moja ya Mapambano ambayo Kristian Laight alipoteza.

Huyu anakuwa rafiki yako au jamaa yako wa karibu kabisa, unamshauri nini mdau?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.