Friday, June 12, 2015

Anonymous

VIDEO: MASKINI Ray C, kalia machozi leo, kilichomliza kiko hapa…

Ray C ni staa wa muziki TZ ambae aliamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya… leo katika Ukurasa wake wa Instagram na kupost video tatu… analalamika kwamba yuko Hospitali na amekosa dawa. 

“Nashindwa kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa, kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi.. Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?“>>>–@rayc1982 

Wana maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika unaambiwa imekuwa kama shule“>>> –@rayc1982

Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“>>>–@rayc1982
Tazama video hizo hapa chini......
A video posted by Ray C (@rayc1982) on
A video posted by Ray C (@rayc1982) on
A video posted by Ray C (@rayc1982) on

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.