Monday, June 15, 2015

Anonymous

PICHAZ: KWA UZEMBE HUU AJALI ZITAKWISHA KWELI TANZANIA?!


DEREVA wa basi la Abood linalofanya safari zake Dar-Moro akijaribu kuyapita magari manne akiwa mwendo kasi katika maeneo ya Kibamba - Darajani jijini Dar leo huku mbele yake likija lori kwa kasi.
Ili kuepusha ajali hiyo, ilibidi madereva wa magari yaliyokuwa mbele waingie pembezoni mwa barabara ili kulinusuru basi hilo lisigongane uso kwa uso na lori.
Je, kwa hali hii ni kweli ajali zitakwisha nchini?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.