Monday, June 15, 2015

Anonymous

12 PICHAZ: May 2015 Jangwani ilikumbwa na mafuriko, huu ndio mwonekano wake leo June 15 2015..

Mvua ilinyesha mfululizo Dar, hali ya Jangwani haikuwa poa kabisa kutokana na ishu ya mafariko.. unadhani watu waliovamiwa na mafuriko wamehama?

Hii ilikuwa May 2015, Maji yalijaa mpaka juu ya Barabara magari yakashindwa kuvuka kabisa.

Wengine wakapata kabisa dili kuvusha watu kwa kuwabeba mgongoni

Huu ndio mwonekano wa Jangwani leo June 15 2015
Wapo waliobaki na maisha yanaendelea kama kawaida japo mafuriko yaliwakumba pia.. Hizi ni pichaz nilizozipata leo June 15 2015.







 
-via milardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.