Wednesday, May 13, 2015

Anonymous

SWALI MUHIMU Kwa Wapenzi ambao wako kwenye ugomvi na hawasemeshani! Shuka nayo hapa...

22 
Msimu huu wa mvua, mpenzi wako MLIEGOMBANA na hamsemeshani kwa zaidi ya wiki mbili ndio mwenye gari lakini wewe huna, muda wa kuondoka kazini umefika na huna usafiri wa kukuondoa ulipo, umetoka nje kucheki mpango wa kuondoka… ghafla unamkuta nje kapita kukupa lift, utapanda?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.