Wednesday, May 13, 2015

Anonymous

Profesa Chuo Kikuu Awataka Wanafunzi Wake Wacheze UCH! Ili Wafaulu Mitihani Yao! Wazai Waja Juu!

califonia
Kuna njia nyingi ambazo wanafunzi wengi wa vyuo wamekuwa wakizitumia ili kuhakikisha wanafaulu mitihani yao ya mwisho na hata wengine hutumia fedha ili tu kuhakikisha wanafaulu.
Lakini hii njama iliyotumiwa na wahadhiri wa chuo cha University of California, San Diego imepelekea wazazi wa wanafunzi kupandwa na jazba na hata kuwafikisha kwenye vyombo vya kisheria baada ya kuwataka wanafunzi kucheza uchi ili waweze kufaulu mitihani yao. 

Mmoja wa wazazi wa wanafunzi hao alisema  Professor Ricardo Dominguez alimlazimisha binti yake kuchagua kuvua nguo na kucheza au kufeli mitihani.

Hata hivyo uongozi wa chuo hicho ulikanusha shutuma hizo na kusisitiza hawakuwalazimisha bali waliwataka kuchagua wenyewe kucheza bila nguo ama kucheza na nguo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.