Monday, April 20, 2015

Anonymous

ZITTO KABWE Angea haya iwapo ikitokea Lowassa akienguliwa na CCM urais 2015

Zitto akiwa Ziarani Mjini Mwanza Katika Mkutano wa ACT Wazalendo uliofanyika Katika Viwanja vya Furahisi Ameweka Bayana kuwa Kama Jina la Lowassa litatolewa katika Kinyang'anyiro cha kugombea Urais 2015 kwa Ticket ya CCM basi ACT wazalendo wako radhi Kumpokea kwenye Chama chao kwa Sharti la Kutangaza Hadharani Thamani ya Mali zake na Utajiri alionao na chanzo chake .. 
Unaonaje mtazamo huu wa Zitto Kabwe?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.