Monday, April 20, 2015

Anonymous

IMEVUJA: KUMBE GIRLFRIEND WA MCHEZAJI MANYIKA JR ALIKUA MPENZI WA MSANII HUYU!

Baada ya kuwapa majibu wale wote ambao waliokua wanadai kwamba ameshuka kiwango, hivi sasa watu wametaka kumjua zaidi huyo baby wa kipa Manyika Jr. Kama story ya kuwajibu wanaosema ameshuka kiwango cheki kwenye story za jana utaiona.
Detail za mpenzi wa Manyika Jr zimenifikia leo kwamba msichana huyo ambaye yupo mapenzini na kipa Manyika, alikua mpenzi wa msanii wa Yamoto Band Dogo Aslay.
Story zilitoka kwamba Aslay na Naima walikua mapenzi kiasi kwamba hadi Naima alichora tattoo ya jina la Aslay kwenye mkono wake.
Soudy Brown mzee wa udaku aliwai kutoa udaku kwambwa msichana huyo huyo Aslay aliporwa na msanii/mwanasoka Tundaman, lakini Tunda alikanusha habari hizo.
Lakini hivi sasa anaonekana yuko mapenzini na kipa Manyika na hizi ni baadhi ya picha nilizozipata.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.