Monday, April 20, 2015

Anonymous

Lowassa kwenye headlines tena, CHADEMA vs ACT-Wazalendo UTATA, Tanzania na vurugu za Afrika Kusini #PowerBreakfast

Picture by Masoud Kipanya
Ni Jumatatu ya April 20 ambapo kwenye zile zilizoandikwa Magazetini na kusomwa kwenye Power Breakfast ya CloudsFM iko story ya jumla ya magari 400 kuibiwa Dar es salaam kwa mwaka 2013, nyingine kubwa ni  CHADEMA kusema haiko tayari kuikaribisha ACT Wazalendo ndani ya UKAWA.

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa ametaka wauaji wa Albino wapelekwe kwa Rais, waathirika wa dawa za kulevya Dar es salaam wafanyiwa ibada maalum, serikali leo itatoa tamko kuhusu mauaji ya raia wa kigeni yanayoendelea Afrika Kusini na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewahakikishia usalama raia wa kigeni nchini humo na kusema serikali yake itachukua hatua.
Unazitaka stori zote? kuzisikiliza bonyeza play hapa chini >>>>
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.