Monday, April 20, 2015

Anonymous

5 PICHAZ: TAZAMA MTUKUTU RIHANNA AKIJIACHIA FUKWE ZA HAWAII, MAREKANI!

Mwanamuziki, Robyn Rihanna Fenty (27) 'Rihanna' akitembea akiwa kashika glasi ya juisi  katika fukwe za Hawaii, Marekani  jana Jumapili.
Rihanna akijiachia na marafiki zake katika fukwe hizo. Kushoto ni rafiki yake wa karibu Melissa Forde.
Picha alizoiweka Rihanna katika akaunti yake ya Instagram akijiachia katika fukwe za Hawaii.
(PICHA: MTANDAO)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.