Ajali hiyo imetokea wakati pikipiki na DCM vikivuka mataa hayo ambapo pikipiki imeingia uvunguni mwa DCM na kukokotwa huku ikitoa cheche zilizopelekea moto kuwaka na pikipiki hiyo kuteketea kwa moto. Aidha sehemu ndogo ya daladala hilo nayo ilishika moto wakati pikipiki ikiteketea.
Imeelezwa kuwa dereva wa pikipiki hiyo ameumia sana na hali yake ni mbaya kutokana na majeraha aliyoyapata.
HATARI SANA: Wajawazito Wajifungua kwa VIBATARI Miaka Mitano-Masasi!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
(PICHA NA MDAU ALLY MBETU KUPITIA GLOBAL WHATSAPP 0712 919142)


Note: Only a member of this blog may post a comment.