Bobbi Kristina.
WAKATI binti wa mwanamuziki Bobby Brown aitwaye Bobbi Kristina akiwa
'ananusa' kifo, familia yake inajadili mipango ya mazishi yake, ambapo
upande wa baba yake unajizatiti kupambana kutokana na vitendo
ilivyofanyiwa wakati Whitney Houston (mama yake Bobbi) alipofariki.Bobby ananukuliwa akisema familia ya Houston ilikasirishwa na kitendo chake cha kuja na watu tisa wa familia yake kwenye mazishi hayo.
Wanafamilia wengi wa upande wa Brown hawakupewa namba hiyo, jambo ambalo lilisababisha kutoelewana.
"Lolote likitokea kwa Bobbi Kristina, hatutakubali kufanyiwa vitendo kama vile sisi watoto wadogo," alisema mmoja wa wanafamilia ya Brown.
PICHAZ: PIKIPIKI YATEKETEA KWA MOTO UBUNGO JIJINI DAR!
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>SHUHUDIA HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.