Saturday, February 7, 2015

Anonymous

PICHAZ: JIONEE ARSENAL FC WALIVYOTEMBEZEWA KIPIGO NA TOTTENHAM CHA BAO 2 - 1

Wachezaji wa timu ya Tottenham wakishangilia baada ya kufunga bao la pili dakika ya 86.
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger (kushoto) akisalimiana na Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino.
Wachezaji wa timu ya Arsenal wakimpongeza Mesut Oezil (wa pili kutoka kushoto) baada ya kufunga bao pekee la timu hiyo dakika ya 11.
Danny Welbeck (katikati) akionyeshwa kadi ya njano na refa Martin Atkinson baada ya kumchezea vibaya Danny Rose.
Christian Eriksen (mbele jezi namba 23) akimtoka kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey.
PICHAZ: AJALI MBAYA..BASI LA HARAMBEE LAGONGANA NA LORI MKOANI KILIMANJARO LEO!
===>>SHUHUDIA HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.