Monday, February 2, 2015

Anonymous

PICHAZ: Baada ya mazishi ya baba yao P Square, Peter alitumia muda huu na marafiki zake…

Jennifer Enwemnwa, mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu, Freda Francis Edewor, Lola Omotayo na Peter Okoye
Siku ya Ijumaa January 30 ndugu jamaa na marafiki wa familia ya mzee Moses Okoye walikutana kwenye mazishi ya mzee huyo ambaye ni baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye ‘P Square‘, mazishi hayo yamefanyika miezi miwili tangu mzee huyo afariki kwa kuanguka akiwa anashuka ngazi ndani ya nyumba.

Peter akiwa na mkewe pamoja na marafiki zake.
Baada ya kufanyika kwa mazishi hayo, Peter aliamua kujumuika na familia yake pamoja na marafiki zake ikiwemo mfanyabiashara mkubwa wa Nigeria, Abdulsamad Rabiu ndani ya boti yao.

Hizi ni baadhi ya picha zikimuonyesha Peter pamoja na mkewe Lola Omotayo wakifuraji.








Mfanyabiashara Abdulsamad Rabiu na Peter Okoye.
POST YA ZARI KWA WIFI YAKE(DADA WA DIAMOND) YAZUA JAMBO INSTAGRAM!
===>>SOMA ZAIDI HAPA!
PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA. 
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.