Mheshimiwa Stephen Masele aliyekuwa akitetea kiti cha ubunge katika jimbo la Shinyanga mjini akizungumza muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi katika kura za maoni CCM leo katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga mjini
Mheshimiwa Stephen Masele akifurahia baada ya kutangazwa mshindi.
Haya ndiyo matokeo ya kura za maoni yaliyotangazwa leo na katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Charles Sangura.
Jumla ya kura zilizopigwa-9685
Zilizoharibika- 36
1.Stephen Masele-7900
2.Charles Mlingwa-669
3.Abdallah Seni-391
4.Erasto Kwilasa-232
5.Hassan Fatihu-164
6.Mussa Jonas-116
7.Khatibu Kazungu-69
8.Wile Mzava-65
9.Tara Omary-43
Note: Only a member of this blog may post a comment.