Monday, February 2, 2015

Anonymous

NYIMBO MPYA KALI: AY -ZIGO....SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA!

Ambwene Yessaya a.k.a AY baada ya kufanya vizuri kwenye Touch Me time hii anakukaribisha kuisikiliza hii single mpya iitwayo Zigo imetayarishwa na producer Nahreel.
Isikilize hapa chini mdau, kama una chochote kuhusu hii unaweza kuandika comment yako pia.

PATA HABARI HARAKA ZITUFIKIAPO.
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA. 
 KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.