Sunday, July 19, 2015

Anonymous

KIVUKO CHA MV KIGAMBONI CHAPOTEZA MWELEKEO UPANDE WA KIGAMBONI‏ -PICHAZ


Wananchi wakitazama kivuko cha Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari.
 Kivuko cha MV Magogoni baada ya kupakia abiria na magari upande wa Kigamboni kilifanikiwa kutoka na kilipofika jirani na gati upande wa Magogoni kilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa ila baadaye kilifanikiwa kushusha. 
(PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.