MPENZI wa staa wa Bongo Fleva
nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady'
amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya
Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki.
Zari ambaye bado yupo Bongo, katika
post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi'
ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake
kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno
ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo
huwa linatumika kwa mvulana!
Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.
Zifuatazo ni baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki kuhusu post hiyo:
PICHAZ: LINEX NA DIAMOND PLATINUMZ WAKIFANYA VIDEO YA NGOMA YA SALIMA!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.
KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.
ASANTE NA KARIBU TENA! KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.

Note: Only a member of this blog may post a comment.