Mrisho Ngassa.
TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.Mechi hiyo imechezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku mabao yote mawili ya Yanga yakiwekwa kimiani na Mrisho Ngassa.
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.