Monday, January 2, 2017

Unknown

‘Nilikwepa Mawe Manne Kabla ya Kuchomwa Mkuki Mdomoni’ - Augustine Mtitu

Moja ya tukio lililomake headline wiki hii ni kuhusu mkulima, Augustino Mtitu aliyechomwa mkuki mdomoni na ukatokea shingoni kwa kile kilichoelezwa ni mgogoro wa wakulima na wafugaji huko kijiji cha Dodoma Isanga kata ya Manzese wilaya ya Kilosa Mororgoro.

Ameongea haya:
Kuna wafugaji waliingiza ng’ombe kwenye shamba la jirani, kijana mmoja akatoka wakamchapa fimbo, nilipoenda kusaidia wakaanza kunishambulia kwa mawe, nikakwepa mawe manne na nilipotaka kugeuka nikimbie nikashtukia mkuki umenichoma mdomoni’;-Augustino Mtitu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.