
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, unaambiwa msanii kutoka Bongoflevani, Shilole alifanya Birthday Party yake usiku wa Dec 20 2016 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva iliyofanyika club ya Next Door VIP Lounge.
Nimekuwekea hapa picha kutoka kwenye Birthday Party hiyo

Shilole akiwa na mchumba wake mpya





.Julio, Shilole, DJ Zero na Chege








.Shilole akiwa na Qureen Darleen




.Shilole akiwa na Johari & Irene Uwoya

.Pichani: Shilole akiwa na Dogo Janja (Kushoto) na Billnas (Kulia)
-via Millardayo
Note: Only a member of this blog may post a comment.