Wednesday, December 21, 2016

Unknown

Hizi ndio mechi ambazo atakosa mshambuliaji Jamie Vardy baada ya FA kukataa rufaa yake

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester, Jamie Vardy baada ya timu yake kukata rufaa kupinga kadi nyekundi aliyo pewa wakati mchezo dhidi ya Stoke City, chama cha soka cha England FA kimekaaa rufaa yake nasasa atatumikia kifungo cha mechi 3.

Vardy alipewa kadi nyekundu baada ya kuonekana amemchezea madhambi Mame Diouf kwenye mchezo ambao walitoka sare ya 2-2 dhidi ya Stoke City jumamosi iliyopita.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.