Mwaka 2016 unamalizika ukiwa na historia ambayo haitosahaulika kwenye
maisha ya muziki ya rapper Darassa. Rapper huyo amefanikiwa kutengeneza
wimbo namba moja Tanzania kwa sasa huku pia umaarufu wa wimbo huo
ukiendelea kusambaa kwa kasi ya ajabu katika nchi zingine.
Tunavyozungumza sasa, wimbo huo ni moja ya nyimbo kubwa Kenya na kinachofurahisha zaidi, Wakenya wameupenda kwakuwa una ladha ya muziki wa Kapuka na baadhi ya mashairi yake yamewafanya wafikirie kuwa ana asili ya Kenya!!
Lakini kuna mtu mmoja muhimu ambaye Darassa na Ben Pol wanapaswa kumshukuru kwa kusaidia kuupaisha wimbo huo nje ya mipaka ya Tanzania. Si mwingine ni mchekeshaji na mcheza sarakasi, Wabogojo. Wiki tatu zilizopita, mchekeshaji huyo alipost video akiwa amejifunga taulo la pinki na mswaki mdomoni akiucheza wimbo huo kwa mbwembwe nyingi.
Ndani ya muda mfupi, video hiyo ilisambaa mtandaoni hasa Facebook na Instagram na watu wengi nje ya Tanzania wakaiona. Umaarufu wa video hiyo uliwafanya watu waende Youtube kuutazama wimbo mwenyewe na kujikuta wakipenda walichokiona na kukisikia. Wengi wameeleza kwenye video ya Darassa kuwa wameenda kuitazama baada ya kuiona video ya Wabogojo ambaye wamempa jina ‘The Guy With A Pink Towel.’ Hawa ni miongoni mwao:
Dellen Ward
The Somalian boy in the pink towel dancing brought me here
The Kidback
Check here if you were sent by the skinny towel guy lol
GagaaIcee
Darassa and Ben Pol, you guys should really thank the guy in the pink towel!!!!
Sheba Okorey
Guy dancing in a pink towel brought me here…Big tuneee.
Sarah Ndumbu
Woooow niliona jamaa wa towel ya pink akidance hii song mpaka imebidi niitafute. I love It from kenya
Susan Machau
The skinny guy who was playing this song with a pink towel amefanya watu wengi kufollow hii ngoma.. It’s dope
Pina Sabrina
I came here from a Facebook video of man dancing with a pink towel with a toothbrush in his mouth
Saba
The crazy dude wearing a pink towel on facebook brought me here
Lucas Wanjala
the dude with pink towel made this song famous,nice track
Ali Jalay
I SEE THAT GUY IN THE PINK TOWEL BROUGHT A LOT OF PEOPLE TOGETHER.
Help Me Get 50 Subs With No Videos
Am I the only one who’s here because of facebook with that skinny ass nigga that was dancing!!
Edna zaato
Man in pink towel video from instagram. Anyone ? lmao
mart_254 Molohills
The skinny dude wth pink towel brought me here his instagram handle is wabogojoford thank me later
Dialysis Technicians WorldWide
Guy with pink towel brought me here to hear the whole version.
Keep It KISS
Thumbs up if the skinny dude in a pink towel brought you here.
Shantelwanjuguh Kinjo
skinny dude…pinky you made me step here
John Githambo
Darassa i was brought here by the guy in pink towel
B Waithanji
The Guy With the pink towel needs recognition big up pink towel guyyou brought me here
elana favella
the man with the pink towel brought me here .. promoting this song !!! love this song
Rose Alexanders
Can you appreciate the guy with the pink towel for bringing 99% of us here. Can’t get enough of him.
enviro brian
I’m here because of the guy who danced in Pink towel, that dude is sick
Uncle Loon
This Darasa guy had better the guy in the pink towel for a very good promo service.
nanzy sebata
Guy in a pink towel got me here…tho i don’t understand the Lyrics but the beat Rocks…what is he saying

Note: Only a member of this blog may post a comment.