Sunday, January 1, 2017

Unknown

Mambo 10 ya Kufanya Ili Mwaka 2017 Uwe ya Mafanikio

Leo January 01 2017 ambapo kutoka gazeti la Mwananchi kuhusu mambo 10 ya kufanya 2017 iwe ya mafanikio, Gazeti hilo limeorodhesha…. 
  1. Nidhamu ya fedha 
  2. Matumizi mazuri ya muda  
  3. Malengo mbadala ‘Plan B’  
  4. Kuwa na taarifa sahihi  
  5. Usipoteze mwelekeo  
  6. Kujali afya  
  7. Uchaguzi wa marafiki  
  8. Kujielimisha
  9. Kuwa tayari kwa lolote  
  10. Kuacha visingizio

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.