Sunday, August 14, 2016

Unknown

VideoMPYA: Time ya Kuongeza Siku Za Kuishi na ‘Sweet Mangi’ Aliyoifanya Mchekeshaji JOTI

Msanii wa vichekesho kutokea kundi la Original comedy Lucas Mhuvile maarufu ‘Joti‘ amekuja na hii video ya wimbo wa ‘Sweet Mangi‘ ambayo ni ngoma ya msanii Nikki wa pili lakini time hii Joti kaifanyia remix. Ukiitazama unaweza kudondosha comment yako chini kuniambia jamaa ametisha kwa asilimia ngapi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.