Saturday, May 14, 2016

Anonymous

Mwanadada LUPITA Nyong’o Avujisha Queen of Katwe

Lupita Nyong’o
Muuza nyago mwenye jina kubwa duniani ambaye pia ni Mshindi wa Tuzo ya Oscar, Lupita Nyong’o hivi karibuni amevujisha kupitia mitandao ya kijamii muvi mpya inayosubiriwa kwa hamu iitwayo Queen Of Katwe iliyochezewa Uganda ambayo itaachiwa rasmi Septemba mwaka huu.
“Ni furaha yangu kukuvujishia Queen Of Katwe, kupitia muvi hii utajifunza kuwa na ndoto ni jambo la thamani sana,” aliambatanisha maandishi yaliyosomeka hivyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.