Thursday, December 22, 2016

Unknown

Gazeti Kubwa UK Liitwalo Guardian Limetoa Nyimbo Kumi Bora za Africa Mwaka 2016, Mtanzania Ashika Nafasi ya 2

Gazeti ya the Guardian la Uingereza limemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa Africa.
Katika orodha hiyo Tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2. Diamond Platnumz kupitia wimbo wake wa Salome amefanikiwa kushika nafasi ya 2 huku, nafasi ya kwanza ikienda Nigeria kwa kuchukuliwa na msanii Tekno na wimbo wake wa Pana 


Orodha kamili
1. Pana -- Tekno
2. Salome -- Diamond ft Rayvany
3. Hollup -- Mr Eazi ft Joey B and Danny Krame
4. No kissing baby --- Patoranking ft Sarkodie
5. Wololo --- Babe Wodumo ft Mampintsha
6. Dance for mr --- Eugy ft Mr. Eazi
7. Ngudu --- Kwesta ft Cassper nyovest
8. Koffi anan --- Yemi Alade
9. Soweto baby ----- Dj Mophorisa ft Wizkid
10. Uncondionational bae --- Sauti sol ft Alikiba

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.