Thursday, December 29, 2016

Unknown

List Kamili ya Washindi wa WatsUPTV African Awards 2016, Watanzania Wanne Wameshinda... DIAMOND Mmh...

Usiku wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016.
Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora.
Wametangazwa washindi 22 wasanii na waongozaji wa video 170 waliyokuwa wametajwa kuwania tuzo hizo wakati zinazinduliwa mwezi September 2016,  kwa mujibu wa mtandao wa Zionfelix.net ni kuwa washindi watafanya show katika tamasha la Made in Africa litakalofanyika 2017 Accra Ghana. 
List ya washindi wote 22 waliyotangazwa
Best Newcomer Video of the Year Harmonize ft Diamond Platinium ( Badoo) 

Best African Reggae Dancehall Video
Shatta Wale ( Chop Kiss ) Ghana 

Best Afro Pop Video
Scientific Ft Quincy B (Rotate) Liberria 

Best African Hip Pop Video
Iba One (Dokera) Mali 

Best African RnB Video
Alikiba (Aje) Tanzania 

Best African Traditional Video
Tay Grin FT 2BABA ( Chipapaa ) Malawi 

Best African Dance Video
Oudy 1ER (Lokolo) Guinea 

Best African Collabo Video
Diamond ft AKA (Make we sing ) Tanzania 

Best African group Video
Navy Kenzo (Kamatia ) Tanzania 

Best African Male Video
Diamond Platinium ft Psquare ( Kidogo ) Tanzania 

Best African Female Video
Vivian Chidid ( Wuyuma) Senegal 

Best African Performance
DJ Arafat (Concert a Korkogo) Cote D’Ivorire 

Best International Video
Beyonce – Formation (USA) 

Best East African Video
Alikiba (Aje) Tanzania 

Best Central African Video
Ferre Gola ft Voctoria Kimani (Tucheze) DR Congo 

Best North Africa
Ibtissam Tiskat 

Best South African Video
Casper Nyvorvest (War Ready) 

West Africa Video
DJ Arafat 

Best African Video Director
Godfather Kidogo (Nigeria) 

Best African Music of the Year
Diamond Platinium ft PSquare (Kidogo) Tanzania 

Special Recognition Award Music Video Africa
Mr Eazi ft Efya (Skin Tight) Nigeria 

Viewer’s Choice Awards
Designer Panda (USA)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.