Rais MAGUFULI Aokoa Tena Milioni 700 za Safari za Vigogo Ulaya
Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.
Badala yake Rais ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.