HABEN Girma ni mwanafunzi wa kwanza
asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana
lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake
kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi.
Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo
wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka yake
ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni
mwanasheria anayejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknoljia kwa watu
wasioweza kuona au kusikia.
Tafadhali share video hii hapa.
Note: Only a member of this blog may post a comment.