Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC), Dk. Hellen Kijobisimba amepata ajali mbaya leo jijini
Dar na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Gari alilopata nali ajali Dk. Kijobisimba.
Dk. Kijobisimba amepata ajali akiwa kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 yenye namba za usajili T 336 CTT.

Note: Only a member of this blog may post a comment.