Hii ni orodha ya wanasoka 10 wenye mvuto zaidi Duniani hii ni kwa
mujibu wa ttandao wa www.sokkaa.com umetoa orodha hii ‘Most Handsome
Footballers in the World’
10. Mats Hummels-Borussi Drtmund
Ni mchezaji wa kijerumani anaye chezea klabu ya Dortimnd ambaye ni nahodha wa kikosi hicho
9. Gerrard Piqué–FC Barcelona

Gerrard Pique anakamata nafasi ya tisa kwenye orodha ya wachezaji wa mpira wenye mvuto zaidi.

8. Cesc Fabregas -Chelsea

Fabregas pia ni mwanaume mwenye mvuto na anashika namba nane kwenye orodha hii.

7. Mario Gotze-Bayern Munich

Ni kiungo wa klabu ya Bayern Munich ambaye alipata heshima kubwa katika michuano ya kombe la Dunia mwaka 2014 dhidi ya Argentina kwa kuifungia nchini yake Ujerumani goli peke la ushindi.

6. Fernando Torres-Atletico Madrid

Fernando Tores a.k.a ‘El Nino’ ameshika nafasi 6 ni mchezaji ambaye huwavutia sana watoto wa kike kwa stayle ya nywele na umbo la mwil.

5. Van Persie-Fenerbahce S.K.

Robin van Persie amshika nafasi ya 5 hivi sasa anakipiga katika klabu ya Fenerbahce S.K.

4. Iker Casillas–FC Porto

Iker Casillas ni miongoni mwa golikipa pekee katika list hii wacheza mpira wenye mvuto zaidi dunian ambaye kwasasa anakipiga katika Kalbu ya FC Porto

3. David Villa–New York City FC

David Villa amengia kwenye orodha ya wachezaji wenye mvuto pamoja na style nzuri ya nwele zake.

2.Kaka–Orlando City FC

Ricardo Kaka anashika nafasi ya pili kwenye orodha hii

1.Cristiano Ronaldo-Real Madrid

Mchezaji wa mpira wa miguu mwenye mvuto zaidi duniani Cristiano Ronaldo wa klabu ya Real Madrid. Mvuto wa sura, style ya nywele na umbo zuri ni baadhi ya vitu vinavyowachanganya watoto wa kike.

Note: Only a member of this blog may post a comment.