Sunday, October 4, 2015

Anonymous

MSHTUKO! Kumbe Hii Ndio Faida ya Kutembea PEKU Kama MJOMBA Mrisho MPOTO!

Mrisho Mpoto ameendelea kujivunia kutembea peku na kudai kuwa ni njia nzuri ya kujiongezea miaka mingi ya kuishi.

“Nimeshajibu hili swali mara milioni,” alisema Mrisho baada ya kuulizwa na Global TV sababu ya kutembea peku.
“Ili uwe na akili lazima ukanyage chini. Unajua ili uishi muda mrefu, hili ni kosa kubwa la kiufundi ndIo maana watu wanakufa haraka na ndio maana watu akili hawana kwa sababu watu wanakosa connection ya mwili na udongo. Tunasema kuconnect doti kuna mahusiano makubwa kati ya ardhi ya mwili wako. Ukuaji wako unategemea na nature tuliyonayo, hewa unayotumia, maji pamoja na udongo. Kwahiyo kuna nguvu kubwa ambayo ipo chini ya udongo.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.