Sunday, October 4, 2015

Anonymous

VIDEO: Hivi Ndivyo MAGUFULI Alivyomaliza Kampeni Zake Huko Singida!

Magufuli (kulia) akimsiliza kwa tabasamu Wazir wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu kwenye viwanja vya Itigi, mkoani Singida
Mgombea uraisi wa CCM Dr. Magufuli aendelea na kampeni mkoani Singida huku akiwaasa watanzania kuto uza shahada zao za kupigia kura.
Nimekuwekea video hiyo hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.