Sunday, October 4, 2015

Anonymous

Breaking News: Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajitoa CCM Rasmi...Adai CCM Imekiuka Katiba na Inatumia Vijana Kutukuana Wazee!


Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ametangaza leo Mbele ya Waandishi wa Habari kuwa Amejitoa Rasmi CCM na Kwa Sasa Hata Jiunga na Chama Chochote Lakini Ataunga Mkono Mbio za Wanaotaka Mabadiliko.....
Kingunge Ametaja Sababu nyingi za Kujitoa CCM ikiwemo ya kukiuka katika wakati wa Mchakato wa kutafuta Mgombea Urais wa CCM kule Dodoma na CCM kutumia vijana kuwatukana Wazee.... 
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.