Wednesday, September 23, 2015

Anonymous

UTAFITI wa TWAWEZA...Msoma Utafiti Ametumia Muda Mwingi Kudefend Matokeo Kuonyesha Uhalali wake Badala ya Kuacha Watu Waamue!

Kwa walioangalia Wakati Matokeo ya Utafiti Yanasomwa Main presenter wa huu utafiti Alishindwa kuwa professional kwa kupresent takwimu kulingana na utafiti waliofanya ( kama kweli ni legitimate results) anatumia muda mwingi kudefend matokeo hata kama umati haujauliza swali, kuonyesha uhalali wa matokeo yao, ameonyesha mapenzi ya dhati kwa CCM hasa aliposisitiza Magufuli hana ufisadi, sijui ndo anataka akumbukwe kwenye nafasi za kuteuliwa na magufuli, anaonekana very arrogant, Please be professional, it is a shame to academicians and intellectuals

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.