Monday, September 7, 2015

Anonymous

Siku LOWASSA Akiamua Kufungua Mdomo Kuhusu Ricmond Nchi Itatetemeka

Wanasema usimrushie mawe mwenzio wakati unaishi nyumba ya vioo, wanadhani Lowassa hawezi kusema anayojua kuhusu Richmond wanajidanganya.
Inasemekana washauri wake wamemwambia akae kimya kwanza muda ukifika atasema na siku hiyo kuna watu watakuwa kama wamevuliwa nguo ila waswahili wanasema muungwana akivuliwa nguo huchutama.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.