Friday, September 11, 2015

Anonymous

SERENA Hakufurahia Kumshinda Dada Yake VENUS? Jibu Kalitoa Hapa...

Ushindi  ni furaha, ushindi ni kitu kizuri… Serena Williams ni staa wa Mchezo wa Tennis, siku chache zilizopita aliibuka na ushindi mzuri kwenye Michuano ya US Open, baada ya kumshinda dada yake, Venus Williams… alifurahia ushindi?

Serena Williams (kulia) akipeana mikono na dada yake, Venus Williams.
Waandishi wa Habari wakamcheki ikaonekana kama mtu asiye na furaha hivi baada ya Mechi, swali likatoka kwamba nini kimefanya aonekane hana furaha yoyote na ushindi wake?
Sasa hivi ni saa tano usiku, kiukweli sijapenda muda huu kuwa na nyie hapa, nilitakiwa kuwa kitandani nimepumzika na ninatakiwa kuamka mapema kwa ajili ya kufanya mazoezi… Sikupenda pia hata kujibu maswali yenu, mnaniuliza maswali yaleyale, yani hata sifurahii chochote hapa kwa kweli‘-  Serena.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.