


Msafara wangu umevamiwa na wanaccm wakati nikitoka kijiji cha Mangucha kwenda Kegonga watu wetu wameumizwa na mmoja amefariki dunia" Meseji ya Heche kanithibitishia!
Je, una maoni gani kuhusu matukio kama haya haswa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!
CHANZO : JAMII FORUMS :
CHANZO : JAMII FORUMS :

Note: Only a member of this blog may post a comment.