Sunday, April 5, 2015

Anonymous

VIDEO [AIBU] MTANGAZAJI WA ITV AIBUA KITUKO CHA MWAKA AKIWA LIVE KWA HEWA!

Nimekutana na hii video ambayo ni gumzo kwa sasa mitandaoni ikisambaa kwa kasi nikaona nishee nawe mdau wangu! 
Tazama video hiyo hapa chini!
MASWALI YA KUJIULIZA: 
Hivi kweli kuna timu inaiwa Diamond Platinumz?! Huyu si ni msanii jamani?! Ndio kusema kwamba jina la msanii huyu limewakaa watanzania midomoni kihivi au ina maana gani?! Ulimi hauna mfupa jamani mimi napita tu, sema wewe mdau!
Tupia maoni yako hapo chini kwa comment box tafadhali!
 Kama kifaa chako hakina uwezo wa kusoma Player hii==>> BONYEZA HAPA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.