Tuesday, September 8, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia KINGWENDU Alivyotikisa Kisarawe Kwenye Kampeni Zake za Ubunge

Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgembea ubunge jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya chama cha wananchi CUF alipokuwa akinadiwa na mgombea mwenza wa urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.