Wednesday, September 23, 2015

Anonymous

P DIDDY Aongoza ‘Forbes Hip-Hop Cash Kings 2015’, Akifuatiwa na JAY Z na DRAKE (Orodha Kamili Hii Hapa)

Jarida la Forbes limetoa orodha mpya ya wasanii wa Hip Hop wanaolipwa fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2015.
diddy
Sean “Diddy” Combs ndiye anayeongoza orodha ya mwaka huu (Kutoka nafasi ya pili aliyoshika mwaka jana) na kufanikiwa kumuengua Dr. Dre kwa kutengeneza $60 million. Fedha nyingi za Diddy zimetokana na miradi yake ya Ciroc vodka pamoja na brand zingine.
Jay Z
Jay Z ameendelea kushikilia nafasi ya pili kama ilivyokuwa mwaka jana, akiwa ametengeneza $56 million kupitia Roc Nation pamoja na Armand de Brignac champagne.
drake back to back
Drake amejivuta hadi nafasi ya tatu (kutoka nafasi ya 4 mwaka jana), akiwa ameingiza $39.5 million zilizotokana na tour zake, pamoja na endorsement za Sprite na Nike.
Dr.-Dre
Kutoka nafasi ya kwanza hadi namba 4 mwaka huu imeshikwa na Dr. Dre, akiwa ametengeeza $33 million, na nafasi ya tano imeshikiliwa na Pharrell Williams aliyetengeneza $32 million.
HIP-HOP CASH KINGS 2015 (orodha kamili)
1. Diddy: $60 million
2. Jay Z: $56 million
3. Drake: $39.5 million
4. Dr. Dre: $33 million
5. Pharrell: $32 million
6. Eminem: $31 million
7. Kanye West: $22 million
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
9. Nicki Minaj: $21 million
10. Birdman: $18 million
11. Pitbull: $17 million
12. Lil Wayne: $15 million
13. Kendrick Lamar: $12 million
13. J. Cole: $11 million
14. Snoop Dogg: $10 million
16. Rick Ross: $9 million
17. Tech N9ne: $8.5 million
18. Ludacris: $8 million
19. T.I.: $6 million
20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.