Mama mzazi wa muimbaji wa Yamoto Band,
Aslay Isihack ‘Dogo Aslay’, Moza Mohamed amefariki leo alfajiri katika
Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam alimokuwa amelazwa.
Akizungumza na mwandishi wetu, Meneja wa
Yamoto Band, Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kuongeza
kuwa, Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Temeke.

Note: Only a member of this blog may post a comment.