Staa wa Bongo Movies, Jackline Wolper ambaye amevishwa pete na
mchumba wake, jana kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa
Instagram alifunguka haya, mara baada ya kubandika picha hizihuku
akipost picha kadhaa wakati akivalishwa pete.
”Kweli Maisha uwezi kuyapanga wala kuyajenga zaidi ya
Mungu.. dah nimekaa na mwenzangu leo sku nzima nimecheka nimenuna kumbe
kuna tukio mbele dah sijategemea kabisa nimekaa maskani niliyozoea kukaa
kila sku na Mr wangu sasa leo nashangaa kanunua mashat sare mara ataki
tukae tunapokaa kila sku kumbe hana plan zake nikagombana nae sana
skujua lililopo mbele nikajiwekea mawivu tuu mbele labda kuna analoogopa
lakn kumbe alikua anajambo lake alilotaka kufanya nakukamilisha sku
yangu japo alianza na zawadi ya cheni ambayo nimekua nikiizoea maana uwa
anapenda kuni suprise so sikushtuka sana japo nilimshukuru kma apo
awali nilivyoweka insta..but kubwa ni hili hapa ambalo
sikulitegema..kikubwa nikumuomba Mungu anisimamie Basi..okey endelea
kuangalia ni nini kanisuprise leo nakunishangaza tho am happy
naninafuraha i love him so much jamani ata sina lakusema Mungu nilindie
huyu kijana Amen”
Wolper alimaliza.
Note: Only a member of this blog may post a comment.