Tuesday, September 29, 2015

Anonymous

Baada ya Kipigo Cha YANGA...SIMBA SC Wameamua Kuja Kihivi!

Kocha wa Simba Dylan Kerr, akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Simba, Fritch Collins Wachezaji wa Simba wakijifua mazoezini.Mabeki wa Simba Ramadhani Kessy (kushoto) na Juuko Murshid, wakijifua kuokoa mipira ya kichwa. Mazoezi ya pamoja yakiendelea.
Kocha wa Simba akimpa maelekezo beki wake, Emirry Nimubona.

Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib akijaribu kumtoka mchezaji mwenziye kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika jana Uwanja wa Boko Veterans, Ununio Dar.
Jana kikosi cha Simba Sc, wakiendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam, jana ikiwa ni siku moja tu baada ya kupoteza mchezo wake kwa mabao 2-0 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga Sc. Kabla ya kupoteza mechi hiyo, Simba walishinda mechi zote tatu za mwanzo dhidi ya African Sports, Mgambo na Kagera Sugar.
PICHA NA MUSSA MATEJA/GPL

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.