Saturday, September 12, 2015

Anonymous

Audio: PATORANKING Asema Anamkubali ALI KIBA na VANESSA MDEE, Aelezea Kufanana Kwake na Young DEE

Msanii wa Nigeria, Patoraking amesema wasanii anaowakubali kutoka Tanzania ni Alikiba na Vanessa Mdee.
pato
Akiongea na Diva wa Clouds FM kwenye kipindi cha Ala za Roho, Patoranking alisema amekuwa akimsikiliza Alikiba na kwamba Vanessa ni mshkaji wake.
“I listen to Alikiba and I am a fan of his works, I like his works as well,” alisema muimbaji huyo wa ‘My Woman.’
“Then Vanessa Mdee she is my very good friend and I am also a fan of her voice, she is very talented.”
Kwa upande mwingine Diva alimuuliza kama anamfahamu Young Dee na kama anajua kuwa wanafanana. “I have heard a lot of people saying that, I think he is my brother from another mother.”
Msikilize zaidi hapo chini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.