Rafiki yake mmoja (jina linahifadhiwa) aliyelinyetishia gazeti hili
kuhusu uwepo wa picha hizo, alisema kwa jinsi picha hizo zilivyo ni wazi
kuwa endapo sheria ya mtandao itafanya kazi yake, basi mrembo huyo
atakuwa matatani.
Gazeti hili lilipowasiliana na Isabela baada ya kuziona picha hizo na
kutaka kujua jinsi atakavyoshughulika na sheria ya makosa ya mtandao
alisema; “Picha siyo kitu cha kunifanya nishtakiwe kwa sababu simtukani
mtu, wala mavazi yangu siyo sababu ya kuchukuliwa hatua labda wanaopitia
sheria hii wawe hawana kazi ya kufanya.”
Note: Only a member of this blog may post a comment.