P-Square wameonesha mjengo wao mpya uliopo, Buckhead, Atlanta nchini Marekani.
Hiyo ni nyumba yao ya tatu ya kifahari iliyopo nchini humo.
“More blessings condo number 3, new home,big things instillation
time,” wameandika kwenye ukurasa wao wa Facebook. “New landlords in
Atlanta buckhead more blessing ….. Only God can do this,” wameandika
kwenye picha nyingine.
“We thank God almighty for blessing us with another one.”
Tazama picha hizo hapo chini.

Note: Only a member of this blog may post a comment.